Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa , akisaliamiana na wataalumu wa Umwagiliaji kutoka Japan ambao watasaidia katika mafunzo ya Ujenzi na umwagiliaji katika Chuo cha ufundi Arusha
Dkt. Shukuru Kawambwa akipokea maelezo kutoka kwa Dkt. Richard Masika- Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, kuhusu Shamba darasa kwa ajali ya wanafunzi wanaosoma Kozi ya Ujenzi na Umwagiliaji
Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa akitembelea eneo la shamba la darasa kwa wanafunzi wanaosoma kozi ya ujenzi na umwagiliaji
Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa akiangalia eneo la shamba la darasa kwa wanafunzi wanaosoma kozi ya ujenzi na umwagiliaji
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...