DJ Venture na Mai waifu wake Benadina wakifurahia kumeremeta kwao kwenye mnuso wao hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar wikiendi hii. Chini wakiwa na wapambe wao kwenye mnuso huo wa nguvu uliohudhuriwa na nani ni nani jijini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hongera sana! picha nyingine kapigieni NGWEZA shemeji nae apajue.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...