Bondia Francis Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla (kulia) wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Mabara (UBO) Dar es Salaam , utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao ambapo kila mmoja wao leo katamba kumbonda mwenzie. Katikati ni mratibu, Super Promoter Mohamed "Muddy" Bawazir. Picha kwa hisani ya www.superdboxingcoach. blogspot.com)
Home
Unlabelled
Mabondia Francis Miyeyusho na Mbwana Matumla watambiana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...