Muhidin,
Kama tulivyoongea jana kuhusu maadhimisho ya miaka sita ya issamichuzi blogspot. Picha hizi za jengo la Finlandia Talo /Finlandia Hall) nimezipiga leo. Picha nyingine nzuri zaidi za Finlandia Talo (Finlandia Hall) unaweza kuzipata toka google images. 
Nakutakia maadhimisho mema.
Fidelis M Tungaraza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...