Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Mmekuwa masharobaro wa kutpwa.Ha ha haaa

    ReplyDelete
  2. Violation of Copyrights za kazi za watu, ndiyo kilio cha Mh.Sugu

    ReplyDelete
  3. Sioni cha maana hapa.

    ReplyDelete
  4. Aisee! nimecheka kupita kiasi,huyu mtu alietafsiri hii kitu sijui alikuwa anafikiria nini,hahahahaha!!

    ReplyDelete
  5. ebwanaaa eh!! hii noma! alietengeneza big up sana!!

    ReplyDelete
  6. Yaani mnaijua ile sala ya Wajinga ndio waliwao!!!!! Amin. Huyu Hitler anazungumza kijarumani tafsiri ya uongo mtupu aliotoa huyo jamaa. Acheni mambo ya kitoto hapa. Hii movie ni ya vita ya Pili ya dua na Hitler ndio starring.

    ReplyDelete
  7. Kama vile sinema za uswazi.. Amitabachan anaongea kiswahili..

    ReplyDelete
  8. DUUUUUU!!!!! hiiii ipo creative sana, jamaa kapatia utafkiri walikua wanaongea mambo ya Loliondo kweli.
    ujue warusi wanajua act movie za kimafia sana yani.
    Mimi namuomba mdau aliye post hii anipe Jina la hiyo movie ili nipate kuangalia.

    (c) Mdau wa libeneke

    ReplyDelete
  9. ndungu yangu inatisha sana paka sasa ujaiangalia tafuta unaweza pata hata ya kingereza lakini huku german awataki kabisa kusikia jina la huyu mtu wala kulitaja mtaani nimarufuku wala kumpa mtoto jina lake alifanya mambo mabaya sana

    ReplyDelete
  10. hahahaaa, nimecheka kwa sauti hapa ofisini mpaka ofisi ya jirani anauliza kulikoni. dah very funny.

    ReplyDelete
  11. Msipende kuharibu kazi za za watu kwa sababu ya chuki zenu binafsi. Hii kitu sijaifagilia hata kidogo.

    ReplyDelete
  12. hiyo movie inaitwa 'the falling'.inaelzea siku za mwisho za hitler ndani ya bunker katika mji wa berlin mwaka 1945.hitler analalamika baada ya kusalitiwa na mageneral wake ambao ilibidi waadvance the 9th and 12th army kudenfend berlin ambayo ilikuwa ndo capital ya by then the third reich german empire against the siege of the russians from the east and the allis from the west.

    ReplyDelete
  13. Hahaha. So funny!Nimecheka sina mbavu!

    ReplyDelete
  14. hahahahahahaahha!...you have just made my day!

    ReplyDelete
  15. Nimecheka sana!

    ReplyDelete
  16. Babu kashaua ndio mnashtuka sasa too late

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...