Home
Unlabelled
Hitler na Safari ya Samunge, Loliondo, kwa babu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmekuwa masharobaro wa kutpwa.Ha ha haaa
ReplyDeleteViolation of Copyrights za kazi za watu, ndiyo kilio cha Mh.Sugu
ReplyDeleteSioni cha maana hapa.
ReplyDeleteAisee! nimecheka kupita kiasi,huyu mtu alietafsiri hii kitu sijui alikuwa anafikiria nini,hahahahaha!!
ReplyDeletefunny!!!
ReplyDeleteebwanaaa eh!! hii noma! alietengeneza big up sana!!
ReplyDeleteYaani mnaijua ile sala ya Wajinga ndio waliwao!!!!! Amin. Huyu Hitler anazungumza kijarumani tafsiri ya uongo mtupu aliotoa huyo jamaa. Acheni mambo ya kitoto hapa. Hii movie ni ya vita ya Pili ya dua na Hitler ndio starring.
ReplyDeleteKama vile sinema za uswazi.. Amitabachan anaongea kiswahili..
ReplyDeleteDUUUUUU!!!!! hiiii ipo creative sana, jamaa kapatia utafkiri walikua wanaongea mambo ya Loliondo kweli.
ReplyDeleteujue warusi wanajua act movie za kimafia sana yani.
Mimi namuomba mdau aliye post hii anipe Jina la hiyo movie ili nipate kuangalia.
(c) Mdau wa libeneke
ndungu yangu inatisha sana paka sasa ujaiangalia tafuta unaweza pata hata ya kingereza lakini huku german awataki kabisa kusikia jina la huyu mtu wala kulitaja mtaani nimarufuku wala kumpa mtoto jina lake alifanya mambo mabaya sana
ReplyDeletehahahaaa, nimecheka kwa sauti hapa ofisini mpaka ofisi ya jirani anauliza kulikoni. dah very funny.
ReplyDeleteMsipende kuharibu kazi za za watu kwa sababu ya chuki zenu binafsi. Hii kitu sijaifagilia hata kidogo.
ReplyDeletehiyo movie inaitwa 'the falling'.inaelzea siku za mwisho za hitler ndani ya bunker katika mji wa berlin mwaka 1945.hitler analalamika baada ya kusalitiwa na mageneral wake ambao ilibidi waadvance the 9th and 12th army kudenfend berlin ambayo ilikuwa ndo capital ya by then the third reich german empire against the siege of the russians from the east and the allis from the west.
ReplyDeleteHahaha. So funny!Nimecheka sina mbavu!
ReplyDeletehahahahahahaahha!...you have just made my day!
ReplyDeleteNimecheka sana!
ReplyDeleteBabu kashaua ndio mnashtuka sasa too late
ReplyDelete