Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude akiwa na mke wake Rahma Othman Mohammed katika pozi la picha wakati wa sherehe ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta katika msikiti wa Al-Masjid Daarul-hud uliopo Kigurunyembe mkoani Morogoro hivi karibuni.hafla hii ilifanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Mwenzagu Pokea pete hii iwe ishara ya upendo wangu kwako na uaminifu wangu kwao. Ndivyo inavyoonekana Rahma akisema wakati alipokuwa akimvisha pete ya ndoa mume wake Ibrahim Kaude wakati wa ibada ya ndoo iliyofanyika Kigurunyembe mkoani Morogoro hivi karibuni.
Mabruk maharusi!!
ReplyDeleteNatoa pongezi zangu kwa maharusi na Kumwomba Muumba awape kila la heri na furaha. Amin.
ReplyDeleteHarusi imetulia,hongereni.Halafu kwa upande wa bwana harusi nimegundua una problem ya vipele baada ya kunyoa ndevu,hii ni problem nilikuwa nayo muda mrefu,lakini nilipokuja holiday marekani mwenyeji wangu aliniintroduce na dawa moja inaitwa 'BUMP STOPPER' huwezi kuamini,vitakuwa history kwako.unaweza check internet kabla ya kuagiza.
ReplyDeleteShukrani
Mdau Mzalendo