BWANA NA BIBI MUHANDO.
JULY 19, 1945 – SEPTEMBER 05, 2010 NA FEBRUARI 07, 1950 – SEPTEMBA 04, 2006
BABA NI MWAKA MMOJA; MAMA NI MIAKA MITANO KAMILI SASA TANGU MTUTOKE. MMETUACHA NA MAJONZI NA MAUMIVU MIOYONI MWETU.
TUNAKUMBUKA SANA UWEPO WENU TUKITAMANI MUNGU ANGEWAACHA JAPO KWA MIAKA MICHACHE, MIDOMO YETU HAIWEZI KUELEZEA JINSI TULIVYOWAPENDA, LAKINI MUNGU ANAJUA JINSI GANI TULIVYOWAPENDA, NA JINSI GANI TUNAKUMBUKA MAPENZI YENU, WEMA WENU NA MWONGOZO KATIKA NYUMBA YETU AMBAYO NI PWEKE SASA.
MNAKUMBUKWA SANA NA WATOTO LEMMY, WILSON, LOI, CHRISTINE NA LAWRENCE, ULLA, LAURA & STANLEY WAJUKUU, PAMOJA NA NDUGU WOTE NA MARAFIKI. KIMWILI HAMKO NASI, BALI KIROHO MKO NASI DAIMA.
MWENYEZI MUNGU AZIPUMZISHE ROHO ZENU MAHALA PEMA PEPONI.
AMEN.
May their souls RIP, Amen.
ReplyDeleteRLosiru
RIP. Picha inasikitisha, utadhani bado wako hai. do dunia tunapita jamani
ReplyDeleteMungu aendelee kuwalaza mahali pema peponi Amina!
ReplyDelete