Salam Ankal Na Wadau Wote.

Jana Katika Pita Pita Zangu Mtaani Nikaona Tofauti Na Nilivofundishwa Na Mr.Teacher.. Najiuliza Ticha Wangu Ndio Kachemka Au Mwandishi Wa Hili Tangazo??

Kazi Njema

Mdau Wa Kijiweni (M.W.K)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. halafu we p. didy wa jf ukija kunyofoa picha humu ndani ujue kushukuru, sio kwenda kuzitundika huko na kujidai we ndo umezifuma, nishaona mara kibao unachomoa picha humu na husemi chanzo ni kwa michu blog. mbona wenzio wakitoa picha humu wanasema kwa hisani ya michuzi? uwe na utu

    ReplyDelete
  2. Mdau uloleta hii mada hukuelewa shuleni, maana shuleni wanakufundisha nadharia tu, hali halisi ni kuwa mambo ya biashara yanatakiwa kwenda haraka, la sivyo utakosa wateja!!

    ReplyDelete
  3. TICHA WAKO ALICHELEWA SANA HAYO NI MAMBO YA BIASHARA MSETO.WENZETU MAJUU KOTOKA HUKU BONGO ANAFUNDISHA, ANAOSHA VYMBO,ANANYOA SALOON KISHA ANAMALIZIA KUPIGA VIATU RANGI.

    ReplyDelete
  4. ACHA USHAMBA "ILO TANGAZO/LUGHA YA BIASHARA" [NA NDIO MAANA UKAPIGA PICHA NA UKAWEKA KWENYE BLOG "UMEVUUTIWA"]WATU WANATENGENEZA FUEZA. HIZO NDIZO LUGHA MAARUFU HATA KWENYE INCHI ZILIZOENDELEA. WAINGEREZA WANADAI WAMAREKANI HAWAONGEI KIINGEREZA [FASAHA]. WATANZANIA WANADAI WAKENYA HAWAONGEA KISWAHILI [FASAHA]. MAANA YA LUGHA NI NINI ? NA MAANA YA MAWASILIANO NI NINI ? ...NA TANGAZO LIMEELEKEZWA KWAKO WEWE MWENYE NA NDIO MAANA UKALILETA/UJUMBE..

    ReplyDelete
  5. Lakini nyie mnaomuandama mtoa mada, mmeiona hiyo 'DISEAL'? Hiyo imekaaje jamani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...