Balozi wa Rwanda Mhe. Edda Mukabagwiza akiwa katika mazungumzo na balozi wetu nchini Canada mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya waliopata ajali ya Meli ya Mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko visiwani Zanzibar,nchini Tanzania.
Balozi wa Serbia Mhe. Zoran Veljic akiweka saini kitabu cha maombolezo ya waliopata ajali ya Meli ya Mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Balozi wa Cuba Mhe. Teresita de Jesus Vicente Sotolongo akiweka saini kitabu cha maombolezo ya waliopata ajali ya Meli ya Mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Balozi wa Lesotho Mhe. Mathapo Tsepa akiweka saini kitabu cha maombolezo ya waliopata ajali ya Meli ya Mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...