Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye aliyekuwa akimweleza jambo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo. Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar es Salaam. Picha na Mroki Mroki
Home
Unlabelled
mgeni rasmi wa Miss Talent wa vodacom miss tanzania 2011 awasili leo dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyu mtoto wa kibemba ametulia siyo siri .Nyie VODACOM shindano lenyewe la Vodacom Miss Tanzania litafanyika lini?Manake mashindano ya "Umiss"yamekuwa mengi hadi yanatuchanganya sasa..Miss Talent..Miss Ocean view..Miss kariakoo..Miss kuogelea..Miss mapozi,Miss Redds etc.
ReplyDeleteDavid V
5 Leo
ReplyDeleteYarabi tobah! Mimi mwenzenu nafa na hiyo miguu ya huyo Mwali wa Ki Zambia! Nakwambia, Yaani kusema yajazwa upepo kila subuhi:-)
ReplyDeleteAlishakuwa miss but in 3 colour in once, alikosa koti jekundu au basi pochi ya kijani? utadhani mkrismas tree eeeeeeheh eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
ReplyDelete