Mpambano katikati ya uwanja
 Taifa Stars wakitoka uwanjani baada ya sare ya 1-1 na Algeria leo
Kikosi cha Taifa Stars
Juma Kaseja (1),Shadrack Nsajigwa (14),Amir Maftah (3),Juma Nyoso (4),Aggrey Morris (6),Shabani Nditi (19),Nizar Khalfan (16),Henry Joseph (17),Mbwana Samata (10),Abdi Kassim(13),Dan Mrwanda (7).

Substitutes:
Shabani Dihile (18),Idrisa Rajab (15),Victor Costa (20),Nurdin Bakari (5),Mrisho Ngassa(8),Mohamed Rajab (11),John Bocco (9).

Technical Bench:
Jan Poulsen- Head Coach,Sylvester Marsh- Ass. Coach,Juma Pondamali- Goalkeepers Coach,Dr. Mwanandi Mwankemwa- Team Physician,Alfred Chimela- Kit Manager,Leoplod Tasso- Team Manager

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Tuaniombea Taifa stars ushindi. Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  2. Matokeo vipi?

    David V

    ReplyDelete
  3. huu mpira umekwishaje? tumefungwa nini mbona update hazipo!!

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi,

    Ukiangalia hizo jezi vizuri utagundua kuwa ziko tofauti. Kwa mbele baadhi zina bendera kushoto namba kati na nembo kulia; wakati zingine zina namba kushoto na nembo kulia bila kitu katikati.

    Sasa mimi nauliza kwani inashindikana kuwa na jezi zinazoshabihiana?

    Mdau wa libeneke.

    ReplyDelete
  5. pia hiyo picha na listi ya wachezaji haziendani kabisa. pichani namuona ngassa na idris rajab ila leo walianza kwenye benchi kama sikosei. sasa hii picha ilichukuliwa mwanzo wa gemu au mwisho. na hizo jezi nimeniacha hoi.

    ReplyDelete
  6. Aliyetuangusha kwa jana alikuwa Juma Kaseja. Alianza kupoteza muda mara tu tulipopata goli moja wakati kulikuwa na kama dakika 70 zingine za kucheza. Ni ulimbukene kupoteza muda kunazia dakika ya 20 kipindi cha kwanza kwa sababu Moja, mda wowote jamaa wangesawazisha na ndio kilichotokea, pili unawapa wapinzani ari kwamba mnawaogopa na tabia ya timu ndogo kupoteza muda pale wanapoongoza, tatu Algeria tulikuwa tumewabana vilivyo na walikuwa hawatushambulii, nne Mbwana Samatta alikuwa kwenye kiwango kizuri na angeweza kutupatioa bao la pili ambalo lingeua mchezona tano alikuwa anaua move ama morali za wachezaji wetu kwa kukaa na mpira wakati timu ipo kwenye fomu.

    Kwa unafiki eti ndio akaanza kupiga mipira haraka haraka baada ya jamaa kusawazisha. Nashangaa benchi la ufundi halikuona kama Kaseja ndio alitutoa mashindanoni.

    Kwa nilivyoona jana uwanjani KAMWE hatutakaa tuendelee kimpira. Na hatukuwahi kuwa na kiwango cha juu kama watu wanavyosema maana hakuna kikombe hata kimoja katika ngazi ya Taifa tulichokwisha chukua.

    ReplyDelete
  7. Hii picha ya chini ni kikosi cha zamani, baadhi yao hawakuwemo katika kikosi kilichocheza tarehe 4 Sept, 2011. Matokeo si mabaya kwa timu yetu ingawa matumaini ya kusonga mbele ni hafifu, nawashauri wahusika wasikibadilishe kikosi cha tarehe 4 Sept. Wachezaji hawa wanatakiwa wawe wanapewa mechi za kimataifa ili baadaye timu yetu iweze kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa.

    ReplyDelete
  8. Unayemlaumu Kaseja unamlaumu bure kwa sababu hujui kocha aliielekeza vipi timu. Inawezekana kabisa kwamba ndicho timu ilielekezwa. "Nendeni mjitahidi kupiga kimoja halafu potezeni muda king'ang'anie".

    Vipi wadau, mmeshaanza kumkumbuka Maximo? Maximo alikuwa anapata pointi nane kwenye haya mashindano. Safari hii tutapata pointi nane endapo tu kama timu ikishinda Moroko, vinginevyo tutakuwa tumepata pungufu ya enzi za Maximo.

    ReplyDelete
  9. TFF ni aibu zaidi kuliko sifa kwa nchi, I hate you guys so much, sielewi hata mnachokifanya hapo, au ni matapeli nyie?!!! Kila leo ni ovyo ovyo tu, do you really understand what you should be doing??! Ovyo sana nyie TFF, ovyo sana!

    ReplyDelete
  10. Timu bado haijatulia. Na nina ungana na assessment ya mdau anonymous sun 10:26, Kaseja kauuza mechi, na sammatta alishindwa kublend na team, mbaya zaidi shuti alikuwa nampigia kipa directly. Kaseja kiherehere kimtoa kwenye goli, angetulia amuaache beki amdhibiti yule striker. Hatuwezi kuchukua kikombe ya kiwango walicho onesha stars. Bado naona hawana njaa ya magoli na ushindi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...