Mkuu habari za majukumu.
Nimeona mdau mwenzangu kabandikiwa ombi lake kwenye globu ya jamii nami nikaona ni jambo jema nami kupitia mtandao huu nitafarijika, awali kama ombi langu litaenda hewani. Pili nikapata mwenza kupitia globu ya jamii. Ombi langu ni kama ifuatavyo.
Mimi mwenyewe niko kwenye early 30's
Ninatafuta mwenza wa kujenga nae maisha ya sasa na baadae.
1. Mwenza huyu nae awe na umri wa miaka kuanzia 25 hadi 28
2. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea
3. Mkristo. Akiwa Roman ni heri zaidi
Nahitaji mke wa kujenga familia na awe makini na OMBI hili.
Mawasiliano kupitia medeodeus@gmail.com
Mkuu naomba kuwasilisha
Nimeona mdau mwenzangu kabandikiwa ombi lake kwenye globu ya jamii nami nikaona ni jambo jema nami kupitia mtandao huu nitafarijika, awali kama ombi langu litaenda hewani. Pili nikapata mwenza kupitia globu ya jamii. Ombi langu ni kama ifuatavyo.
Mimi mwenyewe niko kwenye early 30's
Ninatafuta mwenza wa kujenga nae maisha ya sasa na baadae.
1. Mwenza huyu nae awe na umri wa miaka kuanzia 25 hadi 28
2. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea
3. Mkristo. Akiwa Roman ni heri zaidi
Nahitaji mke wa kujenga familia na awe makini na OMBI hili.
Mawasiliano kupitia medeodeus@gmail.com
Mkuu naomba kuwasilisha
Hivi mtu anaishi dunia gani hadi anashindwa kumtafuta mweza wake kwa kumuona kwa macho unaomba mchumba ktk mtanado? ukipata JINI je?
ReplyDeleteHongera mdau kwa ombi lako lakini diploma ziko za aina nyingi. Nafikiri ungeainisha ya muda fulani, pia vyuo vengine huwa feki!!
ReplyDeleteYaani huko shuleni, Chuoni, Mitaani na Kanisani hujaona kabinti kanakokuvutia unaomba mtandaoni? Are you even serious. Jiunge na kwaya na kikundi cha vijana wa kikiristo huko ndiyo wenzio wanapataga wachumba. I do not take serious anybody who searches for a wife online. Nyie ndiyo wanaume wenye hila hutaki kutafuta mke kwenye mazingira ambayo watu wanakufahamu ( yaani mtaani kwako, kijijini kwako, kazini kwako au kanisani kwako.) maana wanajua tabia zako.
ReplyDeleteLabda tumuulize mwenzetu huyu ana matatizo gani! Maana hii njia haifai hata kidogo. Naungana na wenzangu kumwuliza kuwa ina maana hajabahatika kukutana na msichana yeyote akamvutia? Maana si busara kuwatafuta watu ambao haujawahi kuonana nao. Tulia tafuta msichana mwenyewe acha udwanzi. Kama domo zito, omba ndugu zako wakutafutie. Lakini hapa unacheza na hautafanikiwa kamweee! naomba kuwasilisha.
ReplyDeleteMambo wadau,
ReplyDeleteNafikiri hamja elewa, huyu jamaa lazima anaishi labda ughaibuni.
Maana Ulaya na America 10-15% za ndoa sikuizi watu wamekutana kwenye mtandao.
Mimi ninarafiki ambaye ni Mganda na ameoa na ana watoto 2, yule dada alimpata kwenye mtandao.Sikuwa na jua mpaka siku moja tulikwa tunakunywa nikamuuliza vipi?
Alikuwa kalewa akafichua hiyo siri..!
Mimi nataka kusema si shaghai, ila tu hawa wakinadada wa mtandaoni au wakina kaka kutoka kwenye mtandao wanamatatiz yake.Is too easy.
Demu unaye mfukizia kwa muda fulani mpaka unampata kunautamu wake,na unajifunza mambo mengi wakati unafukuzia,mambo kama nini anapenda na nini wewe unapenda.
Kwenye mtandao too easy bro..!
Ingekuwa vyema ukaleta na DNA profile yake unayohitajia ili tukutengenezee hako kabinti to your specifications.
ReplyDeleteNaanzisha hiyo business nadhani nitapata mafanikio.
..watu wengine nao wanaboa! hivi mnadhani kila mtu aishi vile mnavyofikiria? yupo mahala mbali, hana nafasi ya kukutana na wabongo wenzie, sasa kutumia njia anayoweza kuwafikia mnaona hayuko makini, ebu tazameni ulimwengu mnaoishi bila kiyafunika macho kwa viganja vyenu!
ReplyDeletecha kwanza weka na picha yako tukuone sasa unataka mtu akukubali bila hata kuona ukoje....
ReplyDelete