washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika pozi. Papazi imesema warembo watatu watakaopenda kujiingiza katika Ulimwengu wa sanaa za maigizo watafadhiliwa na kampuni hiyo pamoja na Miss Papazi atake pata US 1000. Pia Kampuni hiyo itaongeza zawadi kwa washindi wa tatu wa mwanzo. 


Mkurugenzi wa Papazi, Bw. Hans Pope akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni yake katika shindano la Vodacom Miss Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Anko Hashim Lundenga. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...