Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. simba sports club enzi za mwalimu!

    ReplyDelete
  2. enzi hizo za mzee mzima mchonga meno, cha zaidi sijui

    ReplyDelete
  3. NI AFRICAN SPORT.WAKIWA UWANJA WA TAIFA.
    ALLAN

    ReplyDelete
  4. Hii Young Africans ya miaka ya mwanzo ya 1980 kabla haijagawanyika na kuundwa Pan African waliosimama kuna Juma Pondamali, Adolf Rishard, Kapera, Kassim matitu na golikipa wa pili Muhiddin. Waliokaa katikati kabisa ni Kitwana Manara, watatu wa mwisho kulia ni Dilunga, Abdulrahman Juma na Kitenge

    ReplyDelete
  5. coastal union hao

    ReplyDelete
  6. Hii ni Pan African 1978
    wako
    james

    ReplyDelete
  7. Hao ni Yanga mwaka 1975 na kikosi hicho ndicho kilichochukua ubingwa wa Africa mashariki chini ya kocha Tambwe Leya.
    mdau Mc-Omoro UK.

    ReplyDelete
  8. Kwa kumsaidia mdau hapo juu aliyesema Kassim Matitu ni kumfahamisha tu kuwa Matitu hakuchezea Yanga bali alichezea Pan African. na kama nitakumbuka vizuri kikosi hicho kuanzia kushoto waliosimama.
    1.Boi Wilkens 2.Juma Pondamali 3.? 4.Adolph Richard 5.Adam Juma 6.Omar Kapera 7.Jaffar Abdulrahman 8.Mohamed Mkweche 9.Muhiddin.
    waliokaa kuanzia kushoto 1.Gordian Mapango 2.Mayaula 3.Mohamed Tostao 4.Kitwana Manara 5. Leonard Chitete 6.Kassim Manara 7.AbdulrahmanJuma 8.? kocha alikuwa Tambwe Leya na waliokosekana hapo ni Gibson Sembuli,Sunday Manara ,Bona Max, baada ya hapomuda si mrefu wengi wao walihama na kujiunga na Pan African.
    Mc-Omoro UK

    ReplyDelete
  9. toka shoto
    Boi Wickens, Ponda, pass,pass, Adam Juma,Kapera,pass, Mkweche, Muhidin Fadhili
    Walioketi
    Pass,pass,pass,pass,Kitwana,Kitenge,pass, Abdulrahman Juma,pass

    ReplyDelete
  10. small simba

    ReplyDelete
  11. Hiyo ilikuwa Mwaka 1975. Waliosimama toka kushoto: Boi Iddi 'Wickens', Juma Pondamali 'Mensah', Zitto Kiaratu, Muhammed Rishard 'Adolph', Adam Juma, Omar 'Mwamba' Kapera, Jaffar Abdurahman, Mohammed Hashim 'Mkweche'na Muhidini Fadhili. Waliokaa kutoka kushoto: Gordian Mapango, Fred Mayaula Mayaoni, Mohammed Yahya 'Tostao', Kitwana Ramadhani Manara 'Poppat', Leonard Chitete, Kassim Ramadhan Manara, Adurahman Jumma (Captain) na Muhaji Mukhi.

    ReplyDelete
  12. Kibosho shouting star

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...