Director of Communications at the State House Mr Salva Rweyemamu speaks to the press flanked by Assistant Press Secretary to the President Ms Premmy Kibanga
PRESS STATEMENT

a.      In an outrageous cable reported by Wikileaks, the former US Ambassador to Tanzania, Michael Retzer is reported to have said in his cable reports that President Jakaya Mrisho Kikwete has accepted gifts from the owner of the Kempinski Hotel chain, who is a citizen of the United Emirates.

b.      This is, according to Ambassador Retzer, from a conversation he had with the Manager and Publicity Director of the former Dar es Salaam-based Kilimanjaro-Kempinski Hotel, Miss Lisa Pile.

c.      This cable is as untruthful as it is outrageous. It is full of lies and innuendoes seeking to tarnish the good image and name of the President.  It is unfortunate and highly disappointing that an ambassador worth his name could engage in this kind of lazy gossip. 

d.     The Directorate of the Presidential Communications would like to deny these lies in the strongest terms possible as follows:

2.      We would like to state categorically that there has never been a time when the President received gifts from Ali Albwardy. This is definitely an outrageous claim and if there is evidence to the contrary, we would like to challenge Mr. Albwardy to produce it for the public to satisfy itself that what he is claiming are mere lies.

3.      That there has never been a time, ever, when His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, during his time as Foreign Minister or currently as President of the United Republic of Tanzania, was flown by anybody to London on a subsidized shopping expedition to buy five suits. All his travels to London or any other places in the world have been duty assignments paid for by the Government of Tanzania. The matter of him being flown to London for subsides shopping of five suites is outrageous.

4.      That during his entire life, as Foreign Minister or as President, the President has never met in London nor travelled with Ali Albwardy to London on a shopping expedition.

5.      That the President was not responsible for raising nor receiving campaign funds for CCM Party during the 2005 General Elections. He was simply the flag bearer of the Party.  However, he is privy to information that Kempinski Kilimanjaro Hotel was never asked nor contributed a single cent towards CCM campaign. Therefore the allegations that Kempinski Kilimanjaro Hotel contributed one million (USD 1,000,000) toward CCM campaign are baseless and unfounded.

6.      That the Government permission for possessing of the Kilimanjaro Hotel by Kempinski Hotels and the subsequent permission to Kempinski to build two new hotels  - one on the edge of the Ngorongoro Crater and another on the Serengeti plains overlooking the main animal migration routes were issued by the Third Phase Tanzania Government and not by Mr. Kikwete’s Administration.

7.      However, President Kikwete declined to grant Kempinski Hotels permission to build on the Ngorongoro Crater on the strength of environmental concerns. How come then that the President who has been offered so many favors such as suits and election money, took this principled position? This therefore testifies to the fact that, claims that the President has received favours are   with malice intentions from his authors.

8.      That it is a lie that Mr Kikwete has frequented Kilimanjaro Kempinski Hotel in his personal capacity. The records are very clear; the President has never, ever on his own visited that Hotel except on official duties or when he has escorted official state guests.
9.      It is unfortunate that the distinguished Ambassador would believed and transmit such baseless lies and ear-says from a single source. The Office of the President takes strong exception to such behaviour which seeks to tarnish the name and person of the President.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Rites yabania mabilioni iliyolipwa na Serikali

    Na Restuta James


    Wakati kampuni ya Rites India ikiwa imelipwa kitita cha zaidi ya Sh. bilioni 6.6, kwa ajili ya kusafirisha injini na mabehewa yake kuyarudisha India baada ya kuvunjwa mkataba, sasa inaichezea kamari serikali na kutaka kuuzia vifaa hivyo.

    Kwa nyakati tofauti kati ya mwaka 2007 na 2008, Rites iliingiza nchini injini, mabehewa na vifaa vingine muhimu kwa matumizi ya muda, ambavyo ilivikodisha kwa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL).

    Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria ya Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kifungu cha 117, vifaa vinavyoingizwa kwa matumizi ya muda (temporary importation) husamehewa ushuru na kodi mbalimbali kwa miezi 12 na baada ya muda huo kwisha, mwagizaji hupaswa kuvirudisha alikovitoa au kulipa kodi, jambo ambalo halikufanywa kabisa na Rites, hadi mkataba kati yake na serikali unavunjika.

    Nyaraka mbalimbali za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Wizara ya Fedha pamoja na ile ya Miundombinu, zinaonyesha kwamba hadi Machi mwaka jana, vifaa hivyo vilikuwa vikidaiwa Sh. 3,352,492,421.21 kama kodi, kwa sababu ya kutozingatia matakwa hayo ya kisheria. Inaelezwa kwamba Rites



    ilikataa kulipa kodi hiyo kwa madai ya TRL kujiendesha kwa hasara na ilipotakiwa kuviondoa nchini baada ya kuvunjika kwa mkataba, iliitaka serikali kulipa gharama hizo kwa madai ya kukosa fedha.

    Chanzo cha kuaminika kimelieleza gazeti hili, kwamba wakati wa mazungumzo ya kufikia mwafaka kati ya Rites na serikali, kampuni hiyo iliiomba serikali inunue au iendelee kukodisha injini na mabehewa hayo, jambo lililopingwa.

    Ilielezwa kwamba baada ya serikali kukataa na kuitaka iviondoe nchini, Rites ilikubali, lakini ikaeleza kukosa fedha za kusafirisha. Rites pia ilitaka gharama hizo zilipwe na TRL kwa kuwa mkataba wa ukodishaji ulieleza hivyo, gharama ambazo serikali ililazimika kuzibeba.

    Kutokana na hali hiyo, Januari 27, mwaka huu, Kamishna wa Ushuru na Forodha, Walid Juma, aliiandikia TRL barua ya kuruhusu usafirishaji wa vifaa hivyo.

    Hata hivyo, Februari 4, mwaka huu, TRL iliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, kuomba msaada wa kifedha kwa ajili ya kulipia gharama za kusafirisha injini 26, mabehewa 23 na takribani makontena 25, ya vitu mbalimbali.

    Barua ya TRL ilieleza mchanganuo wa kiasi cha fedha zinazohitajika ni Dola za Marekani 285,810 (sawa na Sh. milioni 463.49), kwa ajili ya leseni na kulipia kodi mbalimbali hapa nchini, Dola za Marekani 1,708,500 (sawa na Sh. 2,770,623,195) ambazo ni gharama za bima kutoka Dar es Salaam hadi India.

    Fedha nyingine zilizotakiwa ni Dola za Marekani 2,094,026 (sawa na Sh. 3,395,819,143.42) ni fungu la usafirishaji na dharura ambayo ni asilimia tano ya thamani ya mzigo wote.

    Baada ya malipo hayo, Rites ilieleza kusudio la kuviondoa nchini vifaa hivyo kwa awamu, ambapo katika awamu ya kwanza, ingesafirisha injini 10; jambo ambalo halijafanyika hadi sasa.

    Mkurugenzi wa TRL, Amani Kisamfu, alipoulizwa jana kuhusiana na mkakati huo wa Rites, alisema: “Siwezi kusemea malipo yaliyofanywa kwa ajili ya kusafirisha vifaa hivyo, ninavyofahamu mimi, serikali haikuafiki kununua injini wala mabehewa hayo, nadhani Rites wanataka kuuza kwa mtu au kampuni binafsi.”

    Alipoulizwa kama mtu binafsi anaweza kununua injini na mabehewa hayo na kuyatumia kwenye njia za reli zilizopo, alisema suala hilo linawezekana na kwamba mnunuzi atakapotumia reli, atapunguziwa baadhi ya gharama za kusafirisha mizigo au abiria.

    Kwa upande wake, Kamishna wa Ushuru na Forodha, Walid Juma, alipotakiwa kuzungumzia azma hiyo ya Rites, alisema hajapokea taarifa rasmi kuhusiana na suala hilo.

    “Sina habari juu ya hili, lakini mbali ya sheria, kuna mambo mbalimbali ya kuangalia, pengine nikipokea taarifa naweza kusema chochote,” alisema.

    Septemba 2, mwaka huu Rites ilitangaza kutaka kuuza injini na mabehewa hayo, hapa nchini.

    CHANZO: NIPASHE

    ReplyDelete
  2. michuzi hii kidoo ya TBC haina sauti.

    ReplyDelete
  3. American are the cleverest people on earth. Never trust them. Kuanzia yale ya siri za Dr. Hosea wa Takukuru sasa wameingia Ikulu , Kivukoni kwenye siriu za nchi yetu. Nchi makini hukaa mbali na Wamarekani na washirika wao. Unakutana nao tu pale ambapo ni lazima. Sasa wamarekani hata wacheza vikapu wa mtaani wako Ikulu kila siku...absolutely for non-sense business. why dont we trust them and ofcourse Weakleaks...wanaaccess na nyeti zetu kuliko hata sisi wenyewe. wanatupa vidola viwili wanachukua siri zetu zote.

    Ikulu, na Usalama msitumie nguvu nyingi kwa hili tafadhalini jiapengeni kujisafisha na kuwa macho na wamarekani na washirika wao.
    Huu ndo ushauri wangu

    ReplyDelete
  4. TBC huo mtindo wa kuleta habari wa kupokezana sijui mmeutowa wapi.haina maana watu wawili kuongelea habari moja kwa kupokezana,ila mnaweza kuboresha au kuleta kama discussion hivi,lakni mtangazaji amalizie kuongelea habari moja kwanza.please,angalieni wenzenu.

    ReplyDelete
  5. unajua bwana,hizi nchi za magharibi na ulaya sio watu kabisa.Namwonaga raisi JK anavyowatetemekea na kuhusudu sana wamarekani.
    Hawa jamaa hawachelewi kubadilika mara moja,juzi tu.Imeelezwa kwamba kanali wa libya aliikuwa akishirikiana na wao nk.nini kimetokea?aliinvest hela kwa ajili ya maadui zake.
    Sijawahi kuona mshirika wa ukweli wa hawa watu kutoka africa.Eventually,ni kwamba watamuuua au kumtoa madarakani.
    Africa,haiwezi kuendelea kamwe kama ikikumbatia nchi za magharibi.UN,ETC haya yote yangeweza kutelekezwa na kuunda a strong AFRICAN UNION kujisadia sisi wenyewe.Tunathani miracle itatoka kwa wazungu siku zote,sio kwel.Ni sisi waafrica ukombozi wetu wa kiuchumi,siasa upo mikononi mwetu.
    Waafrica sasa ni wakati kuachana na siasa uchwara,ubinafsi na wizi na tamaa.hakuna sehemu vizazi vyetu vitaenda baadaye.
    Hizi greencard and asylum ni bribe tu,na wanapenda sana watu waje kwao.
    Kama waafrica wangekuwa wanaona mbali,sio tu kuoa wanawake na kuponda mali.Wangeungana na kuunda uchumi wa kujitosheleza.
    Its time for africans who are in abroad to go home and invest,katika mambo mengi.Hata kuwepo kwao nyumbani ni contribution toosha kwa miaka ijayo.
    i wish i could talk to every leader in africa na kuwaambia its time to wake up.Hakuna tusichoweza kufanya.
    Godbless Africa and Tanzania.

    bayarea-california.

    ReplyDelete
  6. WATANZANIA HATUNA UJANJA KWA WAMAREKANI TUKUBALI AU TUKATAE.UMASKINI WETU NDIYO UNAOTUFANYA TUWATEGEMEE KUANZIA KUTUWEKEA CHAKULA MEZANI MPAKA KUWASHA UMEME. UKIMWAMBIA MMAREKANI KITU HALAFU UMUOMBE KUWA HIYO NI SIRI,ASISEME UJUE UMEKWISHA.SIKU ITAFIKA ATAONGEA TU.LAZIMA TUJIULIZE HAWA WATU SIYO WAJOMBA WALA SHANGAZI ZETU LAKINI WANATOA MISAADA SANA TANZANIA.HISTORIA INAONESHA KUWA PESA YAO HAIPOTEI BURE,LAZIMA ITARUDI TU.KUNA KITU WAMEKIONA TANZANIA NDIYO MAANA WANAFURIKA.MBONA HAWAKWENDA RWANDA WAKATI WA MAUAJI MAKUBWA KAMA KWELI WANAPENDA HAKI ZA BINADAMU? NI KWA SABABU RWANDA KUNA MACHUNGWA, HAKUNA MAFUTA.ULOFA NDIYO UNAOTUFANYA TUDHALILIKE NA PIA ELIMU YETU INYOTOA WASOMI BADALA YA WATAALAMU WATAKAOWEZA KUTUMIA RASILIMALI ZETU ILI TUWEZE KUJITEGEMEA KIUCHUMI.KUISHI KAMA OMBAOMBA KUNAWFAFANYA WAENDELEE KUTUSHIKA PABAYA.TUNAANDIKA MAONI YETU BAADA YA KUSHIBA CHAKULA WALICHOTUNUNULIA,TUNAINGIA MICHUZI BLOG KWA KUTUMIA COMPUTERS ZAO,INTERNET SERVIVE ZAO NA UMEME WAO.WAKITAKA KUINGIA IKULU TUTAKATAA?IKUMBUKWE KUWA ZIARA YA KWANZA YA MH KIKWETE ILIKUWA MAREKANI.ALIULIZWA SWALI KWENYE MKUTANO WAKE NA WATANZANIA DC AKESEMA SABABU YA ZIARA YAKE NI KUJA KUJITAMBULISHA. KWA MFUMO WETU WA KUTOAMINI KUFANYA MAMBO MAKUBWA,INABIDI TUWE WAPOLE KWA SABABU HATA TUKUCHUKIA HAISAIDII MPAKA PALE TUTAKAPOWEZA SIMAMA KWA MIGUU YETU.

    ReplyDelete
  7. Ikulu ichukue hatua maana hii ni dharau na udhalilishaji kwa Watanzania na taifa kwa ujumla. Huyo balozi ashitakiwe. Ikulu isipofanya hivyo itatutia shaka kama huu utetezi ni wa kweli.

    ReplyDelete
  8. Wikileaks, hawana habari za ungo, unaotakiwa kuwaita waongo ni Balozi wa Marekani, na sio weakileaks. Na kwa mtindo huu, I would trust the Americans

    ReplyDelete
  9. Mimi namuunga mkono mchangiaji hapo juu kwa yale yooote aliyoyasema, kwanza kabisa inasikitisha saana kadri siku zinavyoenda ikionyesha wazi kwamba wamarekani wanazidi kuiteka nchi yetu,bila shaka kama mchangiaji wa hapo juu alivyosema tushirikiane na wamarekani tu pale inapobidi lakini si kwa kila kitu manake tusipoangalia huko mbele watakuja kutugombanisha na kuleta maafa,angalizo hakuna msaada utakao tolewa na marekani ukawa msaada wa kweli, hawa jamaa hakuna shilingi yao inayopotea pia ikumbukwe kwamba nchi yetu inautajiri mkubwa sana na kuna mabo mengi yanayoendelea kwa sasa,nanukuu kama mchangiaji hapo juu kwamba kwa sasa umeme tunaotumia ni wa kwao,kompyuta za kwao,tunapotoa maoni tunakuwa tumeshiba chakula cha wamarekeni.chamsingi viongozi wetu wapunguze au pengine waache tabia za ubadhirifu waangalie nchi yao kwa manufaa ya taifa letu kuweka pesa au kuficha pesa marekani au uingereza hakuwezi kuwasaidia kitu siku urafiki ukifa hawa jamaa lazima wawaumbue sipendi niseme saaana lakini najua mifano wanayo naomba mungu awabariki viongozi wetu wabadilike na waachane na maovu na tushirikiane tuwe wamoja tuijenge nchi yetu tanzania natanguliza shukrani naipenda tanzania nchi yangu niliyopewa na mungu,mungu ibariki tanzania, mungu ibariki africa pamoja tunaweza.nawakilisha!

    ReplyDelete
  10. Lakini kimsingi hayo yaliyosemwa yanamsingi.... jiulizeni kwanini yamesemwa hayo maneno.. hasa kuna nini mpaka yakongelewa hayo na huyo balozi.. siyo kukaa kutupa lawama na kejeli bila kujiuliza swali la msingi ni kwanini yamesemwa ?? kama ikulu inapinga hiyo kashfa basi wawe wawazi ni nini hasa kimesibu mpaka haya mambo yakawa wazi !! na huu ndiyo uwazi wa viongozi wa nchi ulivyo !!!

    ReplyDelete
  11. mungu ibariki tanzania.....kwa nijuavyo mimi hao wamarekani wakiingia sehemu lazima watawasababishia vita kawaida yao wanaingia mdogo mdogo na baadae ukishakuwa rafiki yao watakuleteeni ushawishi wa kutaka mpigane eti kupigania mabadiliko

    watanzania kuweni macho sana angalieni wenzenu wa nchi nyingine za afrika hawana mpango na hao wamarekani kabisa hawataki kuwakaribisha maana wanajulikana ni taifa la kishetani wakiingia sehemu lazima damu imwagike

    ReplyDelete
  12. Hakuna cha Wamarekani, wazungu wa Ulaya wala Waarabu. Wote ni wanafiki tu na hakuna mwenye uchungu na Afrika. Wanajifanya marafiki pale wanapoona kuna ulaji. Na urafiki huo ni wa kilaghai. Ukiwagundua kwamba ni walaghai ukataa matakwa yao basi utazushiwa kila aina ya ubaya na watakutoa madarakani aua kukuuwa. Na huo ubaya unakuta ni wao hao hao wanaokushawishi uutende kwa nchi au raia wako ili mwisho wa siku wapate cha kukuangamizia.

    Mimi sifagilii mtu yeyote mweupe hata awe nani ila kwa sababu ya shida zetu na umaskini wetu tunawanyeyekea. Waafrika hatuko united. Kila nchi inataka yenyewe ndio ionekane ina maendeleo. wengine ni wajinga. Matokeo yake ni kukubali kugawanywa na hao wadhungu.

    Waarabu nao ni wale wale tu ni kwa vile tu wao ujanja hawana. Tena wakatio mwingine ni afadhali wazungu kwa sababu waarabu wao ni kwa vile tu dunia imeshikwa na wajanja wengine wangetufanyia mambo mengi sana mabaya.

    ReplyDelete
  13. I must say the former ambassador should be a writer for he must have come up with all those ideas over a glass of wine or fosters beer!
    It would be interesting to see if the management of Kempinski will come up with their official statement which I doubt they will. We have worse accusations such as Dowans etc of which have gone unanswered and we did not see the state house coming out with such strong denial etc. So again I must say the former American ambassador is a great writer!

    ReplyDelete
  14. IKULU achaneni nao hao wazushi..Mna kazi nyingi za kufanya kwa ajili ya nchi yetu..Wanataka kutupandisha Hasira sisi Watanzania tuandamane barabarani.Sisi 'hatudanganyiki'.Huo ndio UKOLONI MAMBOLEO.Fanyeni kazi hapo Ikulu achaneni na Wazungu..Mimi ninafanya kazi na wazungu mwaka wa kumi na 5 huu.Kuna mzungu aliwahi kuniambia kwamba wao huwa hawatupendi sisi "Waafrika"!!

    David V

    ReplyDelete
  15. inabore kuangalia habari za tv za kiafrica sauti mbovu,picha mbovu aaaaaaah

    ReplyDelete
  16. Mara nyingi agent akishakaa sehemu muda mrefu na hana taarifa ya kupeleka basi hukaa chini na kupeleka hata maneno ya vijiweni ilimradi aonekane yuko kazini. Dawa ni moja tu, kulikuwa hakuna haja ya Ikulu kukanusha, mngemwita balozi wao aje ajieleze kuhusu hilo sakata kisha yeye ndiye angetoa taarifa very simple.

    ReplyDelete
  17. WEWE MDAU KUHUSU TBC,KUPOKEZANA HABABRI,ETI WAANGALIE WENZAO ,WEWE NDO PIMBI KABISA KWANZA HUJI LOLOTE,YAANI HUJUI UNACHOKIONGEA,SIDHANI HATA KAMA UMEKWENDA SHULE,SASA KWA TAARIFA YAKO,HATA WENZAO NCHI KAMA UK NDIVYO WANAVYOTANGAZA,ANGALIA BBC,AMA SKY SPORT,KWA YUTUBE,WEWE MDAU MWINGINE ETI MICHUZI TBC HAMNA SAUTI,MICHUZI AFANYE NINI???SAUTI SISI MBONA TUNAISIKIA??QATANZANIA TUMEZIDI UPUMBAVU WA KUBISHANA MAMBO YA KIJINGA KABISA,KAMA COMPUTA YAKO HAINA SAUTI IS UP TO YOU KIJANA HII HAIMHUSU MTU YEYOTE,MALALAMIKO YASIYOKUWA NA MAANA YEYOTE.

    ReplyDelete
  18. Siamini kuwa Balozi wa Marekani anasema uongo. wamekula kiapo cha kuitetea nchi yao. Mabalozi wote dunini ni mashushushu pamoja na wafanyakazi wa balozi zao wakiwemo wa Tanzania. Sasa kwa nini Balozi wa marekani adanganye nchi yake na rais wake. Hii ilikuwa ni top sectret na wamarekani wenyewe hawakujua kama itavuja. Sisi tunapinga hii habari. wao wanajiapanga namna ya kusafisha nyuso zao kwa hizi siri kuvuja ninyi mko bize kukanusha.Hutawasikia wakiliongelea hili.I bet.
    Ukitaka kujua how clever hii marekani iko. Hesabu idadi ya wafanyakazi wa Serikali yao walioko Tanzania...kuanzia Ubalozini hadi kule kwenye tafiti za Ukimwi na TB. Utaona kuna wanajeshi, wanadiplomasia, CIA, FBI...kila Timu iko hapa nyumbani...what are they doing..."""wanakusanya TAARIFA"..za kila kitu, kila siku.kuanzia kwenye fosters na dodoma wine hadi kwenye susign hundi za MCC.

    Na huyo Bw Mkubwa hapo Ubalozi wa marekani kila siku yuko Ikulu anajichotea siri na kuzirusha DC kila siku. You think is a fool kwenda kumwona Mh. Dk Kikwete kila siku wakati ana kazi kibao. He is automatically a spy and intelligent agent.

    This is just the beginning......very soon mtawajua wamarekani ni kina nani. Na bwana wakubwa pamoja na hizi ishu zote sitashangaa kuona Ikulu mkiwa bize kujipendekeza kwa wamarekani hawa hawa wiki chache zijazo.
    ++++WAMAREKANI HAWAAMINIKI+++MAREKANI SI RAFIKI WA KWELI+++SIMPLE.
    MWENYE MASIKIO NA ASIKIE,,,,MWENYE MACHO ATAZAME

    ReplyDelete
  19. Nakubaliana na wewe kabisa, Ikulu haijifunzi toka kwa wengine? Mna mashaka gani? Kama hajafanya hayo...mwacha mwanaharamu apite. Huku kujitetea tetea kutawaponza!

    ReplyDelete
  20. THIS DIPLOMAT MUST BE AN ASSHOLE OF THE HIGHEST ORDER, THE JACKASS EXTRAORDINAIRE TO INCLUDE IN HIS OFFICIAL CABLE HEADING BACK TO WASHINGTON SUCH BULLSHIT AS A STUPID CONVERSATION WITH A MERE PR WHIP OF JUST A DAMN HOTEL! IDIOT KABISA! IF YOU HAD NOTHING ELSE USEFUL TO DO, YOU COULD'VE SPEND YOUR ENTIRE TENURE HERE IN THE WILDLIFE WATCHING THE WILDEBEEST MIGRATION UKAHADITHIE WANAO...!

    I DON'T INTEND TO DISCREDIT WIKILEAKS, IT HAS DONE A COMMENDABLE PUBLIC JOB ON A GLOBAL SCALE, OR THE WORK OF DIPLOMATS FOR THAT MATTER. BUT THIS DIPLOMAT DUDE HAS JUST SHOWN HOW STUPID AMERICANS CAN BE AT TIMES (NO OFFENSE TO MY AMERICAN BROTHERS AND SISTERS)!

    ReplyDelete
  21. Michuzi umeweka kapuni maoni yangu! Lakini mimi ni mtoa maoni tu. Na hata ukiyaweka kapuni bado ukweli unabaki palepale kuwa."MKULU, WANAKUJA" Huu ni ukweli ambao utasaidia kujipanga sawasawa. Asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...