WANA CCM TAWI LA MOSCOW-RUSSIA TUNAUNGANA NA WATANZANIA WENZETU KWA JANGA NA MSIBA MKUBWA ULIO LIKUMBA TAIFA LETU.NDUGU WATANZANIA NI MSIBA MZITO KWANI TUMEPOTEZA WAZAZI WETU,MAMA ZETU,DADA ZETU,WADOGO ZETU,KAKA ZETU NA WADOGO ZETU. EE MUNGU WA REHEMA UWAWEKE MAHARI PEMA PEPONI MAREHEMU WOTE MILELE.AMINA.

PIA TUNATOA POLE KWA WOTE WALIOGUSWA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE KATIKA JANGA HILI NA MSIBA HUU MKUBWA WA KITAIFA.TUNATOA POLE KWA NCHI YETU NA SERIKALI YETU ILIYOPO MADARAKANI.NDUGU ZANGU WA TANZANIA POLENI SANA NA TUUNGANE KWA PAMOJA KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU MKUBWA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA WAPE NGUVU NA UIMARA KATIKA KUPITA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU WALE WOTE WALIOGUSWA NA MSIBA HUU.

IMETOLEWA NA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI

KOLOWA .K .M

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...