Kampuni ya umojaphone haikuwa nyuma katika mkutano wa DICOTA - Washington DC. Umojaphone uliwawezesha watanzania kupiga simu nyumbani kwa bei poa kabisa. www.umojaphone.com |
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mdau John Sausi wa Umoja Phone wakati alipowasili kufungua DICOTA Convention 2011 huko Virginia, Washington, Marekani
John Sausi na mwenzie wakitioa maelezo kuhusu Umoja Phone
Rais Kikwete akipata maelezo kuhusu Umoja Phone
Way to go my dearest friend John Sausi. Big Up!
ReplyDeleteMchizi Saus nikikuonaga hivi nakumbuka B.U.P.A
ReplyDeleteCongratulations guys!! So proud of you!!
ReplyDelete