Umati ukiwa Coco Beach jijini Dar leo kama ilivyokamatwa na Kamanda Mwaikenda

Mdau akikatiza na pikipiki katikati ya kundi la watu.
Mambo kama haya huwaga hayakosekani katika fukwe ya coco beach katika kipindi kama hiki cha sikukuu.
Mambo ya Pwezaa.
Askari Polisi walikuwepo kila kona ya fukwe ya coco beach ili kuhakikisha usalama unapatikana wa kutosha.
Kila alietenda kosa leo pale coco beach alikuwa akiongoza mwenyewe kwenye Gari la Polisi lililokuwa limepaki pembeni ya fukwe ya coco beach kama ilivyokuwa kwa wadau hawa.








We Misupu usiwe Mshamba hao "raia" wanaoingia kwenye gari sio wahalifu. we huoni tu wanavyoingia kwa uhuru.
ReplyDeleteHao ni askari kanzu wanajivalisha kulingana na mazingira waliopo ili wasistukiwe kumbe wao wako kazini.
Hapo walijivalisha kama nao wamekuja kuogelea vile kumbe wako kazini. Hata majini wanaweza kujilowesha kumbe wako kazini.
Kalaganhaho!