Home
Unlabelled
uchumi supermarket yaja na ushindani wa uhakika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kudadadeki ndo mtatia akili sasa, bado NAKUMAT waje wawafunze kutoa huduma na vijiduka mbuzi vyenu, ati supermarket! Wakati huduma kwa wateja ziro? Zaja hypermarkets kama za Naii sasa... Isti Afrika ya Mashariki oyeee! Mtakula sukumawiki kwa mrija kudadadeki!
ReplyDeleteNimeipenda "wanaodengua". Safi sana tunataka ushindani. Maana kuna maduka fudenge yani hata kupiga picha ni kosa la jinai. Nilitembelea center fulani maarufu hapo dar (siitaji Michuzi asije akabana lakini nadhani mmeshaijua) na wanangu last year nikasema nichukue camera yangu niwapige picha watoto. Askari kanifata eti ni mpaka nikaombe kibali kwa uongoze wa hilo eneo. Nilishangaa sana maana nimekaa nchi mbali mbali sijawahi sikia eneo la public ni marufuku kupiga picha. Nikasema anyway kibongobongo. Yaani watakoma na huduma zao mbovu
ReplyDeleteManji hoyeee!!
ReplyDeletembali, daladala ya gongo la Mboto mhhhhhh. Huku gari tu. Manji manji Wa mbili wa mbili tu mtapiga kelele mpaka mtachoka. A good example yule Kohn wa IMF si mnaona alivyotoka kiulaini pamoja na kuwa ushahidi wa kurape upo. Aliyekuwa nacho ataongezewa vitabu vinasema.
ReplyDelete'barabara ya nyerere road'
ReplyDeleteHizo ndo NEWZ sasa, maana kha! nilikuwa nawaza itakuwa lini Bongo maana huku nairobi na kampala supermarkets any time asubuhi asubuhi, usiku wa manane yaani utakapojisikia wewe........thanks 4 coming, bado Nakumatt since si wenyewe vmetushinda acha wakeiii wajimwage ndo EAC, Mungu ibariki!!
ReplyDeletesafi sana. Bring competetion to the tz. There is opportunity even in region, come and invest uchumi . There are other 4 potential region apart from dar. Thumb up uchumi!
ReplyDelete