Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachungaji weusi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri kutoka New York Marekani waliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 3, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Da Pinda cheka kidogo kaa

    ReplyDelete
  2. Kiswahili jamani!!!!!!!! Wachungaji wenye "ASILI ya KIAFRIKA"(NA SIO WEUSI) wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri kutoka New York,Marekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...