Bonventure Kilosa "Dj Venture" akiwa na mai waifu wake Benadina huku wakionyesha nondozz zao mara baada ya kumeremeta leo kwenye kanisa la Mtakatifu Martha lililopo Mikocheni B,jijini Dar.
Dj Venture akimwanga wino kwenye Nondoz ya ndoa mchana wa leo.
 Shemeji nae akimwaga wino huku Dj Venture akimcheki kuhakikisha hakosei. 
Venture akila kiapo cha ndoa.
 Maharusi wakijadiliana jambo.
Maharusi na wapambe wao wakiwa kanisani.
picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera Bon, hongera Bena(BB!)..Kuanzia sasa Bon angalia sana matumizi ya simu yako ya mkononi(nimo kwenye 'ndoano' mwaka wa kumi sasa....)..nadhani utakuwa umenipata ninachotaka kukueleza.

    Ni mimi David V

    ReplyDelete
  2. hawa maharusi wamependeza ila saa zote wanaonekana kama wamekashika. walikuwa hawako tayari kwa hii harusi au vipi.

    ReplyDelete
  3. hongera saaana venture kwa kumpata my wife wa ukweli, Mungu awabariki mdumu katika pendo.

    ReplyDelete
  4. Why no smiling faces Venture?

    ReplyDelete
  5. Kaka Venture hongera nyingi sana kwa kufunga ndoa.
    Salamu kutoka
    Japan.

    ReplyDelete
  6. Mnataka acheke na wakati kaoa mchagga? Hapo hakuna kucheka ni kuwa macho tu! Haibiwi mtu!

    ReplyDelete
  7. Picha ya tatu kutoka chini...
    Venture: Nimeshakwambia mi sifungui dansi kwa kiduku, labda alaadji au alamba alamba aaauumm! Umenisikia mama nanihii au unajifanya uko bize?

    Am jusplayiwitchu kaka, hongera sana mkubwa! God bless this union!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...