Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akiruka Daluga la beki wa Coastal Union, Mbwana Hamis katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda 5-0. (Picha na Francis Dande).
Mshambuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah akishangilia bao la kwanza la timu yake kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaaam leo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...