Home
Unlabelled
anavuka mto.......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
naomba mrejesho kama alivuka salama...manake sasa naona hatari hatari tu humu..hivi jamani vipi kuhusu mamba a.k.a crocodiles humu....
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteAkitokea MAMBA hapo si itakuwa Nouma sana?
This is dangerous, never try it at home never agin.
ReplyDeleteDoes he know escapeology from crocodiology by swimology? Otherise he will diology for sure!
ReplyDeleteKijana anawahi shule, acheni kelele kwakuwa mko ughaibuni mnajidai na hivyo vi visa. Hayo ndio maisha halisi ya mTZ. Hao wazungu wenu walituibia sisi ndio wakapata hayo maisha mnayoyafaidi nyinyi huko.
ReplyDeletehahhahahaha....uloandika hizo "...ology" u r so funny, looooooooooool
ReplyDeleteHuyu kijana mi namjua. Msiwe na hofu wadau. Alifanikisha kufika ngámbo ya pili bila kukabiliana na mamba. Ni jirani yangu na anaujulia mto vizuri. It could be dangerous but he tried it at home and it worked. Wekeni silaha chini hasa nyie wa ughaibuni.
ReplyDelete