Kutoka kushoto Sunday Shomari, Eugene, Mary Mgawe , Aida Issa na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza kabla ya kuanza kwa fashion show ya wafanyakazi wa VOA kuchangia taasisi mbali mbali zisizo za kiserikali za kutoa misaada kwa jamii. Kwa picha zaidi jiunge na www.sundayshomari.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...