Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ( aliyenyoosha mikono mbele) akizungumza na baadhi ya wakazi wanaoishi  kwenye Kambi ya Mazulia ya Waathiriwa wa  Mafuriko yaliyotokea miaka miwili iliyopita Mjini Kilosa, wakati alipotembelea ,kwenye makazi yao yaliyopo katika Kata ya Magomeni , Wilayani Kilosa.
 Baaadhi ya wananchi walioathiriwa na Mafuriko yaliyotokea miaka miwili iliyopita Mjini Kilosa na kuishi kwenye kambi ya Mazulia, Wilayani humo, wakimsililiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ( hayupo pichani) , aliowatembelea alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi Wilayani Kilosa.
 Baaadhi ya wananchi walioathiriwa na Mafuriko yaliyotokea miaka miwili iliyopita Mjini Kilosa na kuishi kwenye kambi ya Mazulia, Wilayani humo, wakiwa katika shunghuli zao za kawaida kama walivyokutwa Kambini hapo.Picha zote na John Nditi - Globu ya Jamii,Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...