Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Duh! waafrika still thinking in tribal terms. "Natafuta mchagga"

    ReplyDelete
  2. Jasiri haachi asili!

    ReplyDelete
  3. KUSOMA GAZETI. HEHEHEEEEEE KAMA HUJUI MAANA YAKE SHAURI YAKO

    ReplyDelete
  4. Kuna ule msemo kuwa "Wachaga wanawake wa kichaga sometimes husoma magazeti wakati wa.... na kukuuliza aisee hujamaliza tu?".

    Nafikiri hapo ndipo palipomfurahisha mtu katika mahojiano

    ReplyDelete
  5. huyu mdada aulize wenzie kuhusu usomaji wa magazeti, kweli huyu ni kalaga baho, niangusage tu sambi sako!!!!

    ReplyDelete
  6. Kama kawaida yetu wabongo,kiingereza sentensi 1 na nusu halafu unatumbukiza kiswahili (swahingilishi), kaka Michuzi Sporah alianza vizuri na wewe pia ulianza vizuri lakini mara tu ukaanza kumvuta dada Sporah kwenye Swahingilishi, sasa ndugu zetu wengine waafrika wasiojua kiswahili na swhingilishi watapata ujumbe namna gani?? wabongo acheni jamani.Duhh kweli bongo bado ni kiboko.
    Nakuomba michuzi usiibanie hii, itoe watu wasome usione aibu.

    ReplyDelete
  7. michu hebu tueleze kusoma gazeti maana yake nini please mkuu umeniacha kwenye mataa kama mdada sporah please michuzi tufahamishe wadao wako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...