Mkuu wa Ushirikiano wa Bank M, Ambrose Nshala (katikati), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na mbio za hisani za nusu marathoni na matembezi ya hisani, uliofanyika jijini Dar es Salaam, jana.Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya michuano hiyo, Sharnila Bhatt na kushoto ni Makamu wa Rais wa Riadha Tanzania (RT), Hamad Ndee.
Makamu wa Mwenyekiti wa Mchezo wa Riadha Tanzania (RT), Hamad Ndee akisisitiza jambo kuhusiana na mbio za hisani za nusu marathoni na matembezi ya hisani ya Rotary Club wakati wa mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika jijini Dar es Salaam, juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...