Mtuhumiwa wa wizi akipelekwa korokoroni baada ya kujisalimisha katika benki ya Azania Mtaa wa Samora leo baada ya kumwibia mzungu mkoba wake na kuchezea kipigo kutoka kwa wananchi 
 
 Askari wa kampuni binfasi akidhibiti umati uliokuwa ukimuandama jamaa huyo
 Maofisa wa benki ya Azania wakihangaika kuwazuia watu wasiingie ndani ya benki hiyo kumchapa mwizi
 Akidandia gari mwenyewe
 Wananchi walipostukia kuwa anatoroshwa walimfuata hukohuko na kukuta akiondolewa na gari la Polisi kwa mlango wa uani 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...