Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 kwa Naibu Mkuu wa Chuo KikuuKishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Prof. Bavo Nyichomba
zilizotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari Chang’ombe inayomilikiwa na DUCE. Hafla ya makabidhiano ilifanyika chuoni hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Meneja Mahusiano wa NBC, Robi Matiko-Simba (wa pili kushoto) na Mkuu wa chuo hicho, Prof. Salome Misana.
Home
Unlabelled
benki ya NBC yakipiga jeki chuo kikuu kishiriki cha elimu - DUCE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...