Mgeni Rasmi katika hafla ya kutimiza miaka 5 ya 8020 Fashions Blog, Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akisoma hotuba fupi ya ufunguzi wa hafla hiyo iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall jijini Dar es Salaam.
 Mwanzilishi na Mmiliki wa Blog ya 8020 Fashions,Shamim Mwasha a.k.a Zeze akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo ilihudhuliwa na wadau mbali mbali na kufana sana.
 Mc wa Shughuli hiyo,Dina Marios (kulia) akizungumza na Da' Shamim Mwasha wakati wa hafla hiyo iliyofana sana na kupendeza.
 Wadau Mbali Mbali walijitokeza kumpa tafu Da' Shamim Mwasha katika hafla ya Besdei ya kuzaliwa kw Libeneke lake la 8020 Fashions Blog kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall,jijini Dar 
  Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akimlisha kipande cha keki Da' Shamim Mwasha.
 Mrs. Ankal (kulia) akimlisha kipande cha keki Da' Shamim,huku Mh. Angelah Kairuki akishuhudia.Keki hiyo ni zawadi maalum kutoka kwa Ankal Michuzi a.k.a Mzee wa Libeneke. 
Da' Mwamvita Makamba (pili shoto),Da' Mwammy Mlangwa (pili kulia) wakiwa na wadau wengune wa Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bongo kweli tuna maendeleo. Yaani hii yote kwa ajili ya blogu tu?

    Ankali i cant wait na wewe ufanye mnuso wa Globu ya jamii.

    ReplyDelete
  2. KUMBE UNCLE MICHUZI KILA SIKU UNASIFIA WAKE WA WENZAKO KUMBE NA WA KWAKO BOMBA ILE MBAYA SIYO? NI BORA NA WEWE UMEMTOA WA KWAKO MAANA KILA SIKU UNASIFIA WA WENZAKO WAKO UNAMFICHA HONGERA KAKA SHEMEJI KATULIA SANA.

    ReplyDelete
  3. Uncle, ma wife wako, manshallah!

    ReplyDelete
  4. Big up shamim, unastahili pongezi nyingi sana. Vlog yako iko juu!

    ReplyDelete
  5. jAMANI M. MAKAMBA KAPENDEZA KUPITA KIASI, huyu dada nampenda jamani!hana mashauzi na yuko very simpo, yaani kapendeza mnooo.

    ReplyDelete
  6. Ni kweli huwa wachaga ni wazuri sana utadhani point 5, na wanakibati ukiwaoa lazima utajirike

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...