Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto baada ya kuongoza harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha simu ya Bw. Leonard Kapinga (kulia) ambaye aliitoa ili inadiwe katika harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Mjini Dar es salaam leo.Simu hiyo iligombolewa na waliohudhuria kwenye harambee hiyo na kurudishwa kwa mwenyewe kwa gharama ya sh. 522,000/. Kushoto ni Paroko wa Kanisa la Mtakatifu Petro,Padri Joseph Mosha.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliochangia katika harambee ya siku ya mavuno ya kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake ni paroko wa kanisa hilo,Padri Joseph Mosha. (Picha na Ofii ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...