Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Emmanuel Nchimbi (Mb.) akipewa maelezo na Balozi wa China nchini, Bw. Liu Xinsheng  (aliyeinama) kuhusu Baiskeli zilizotolewa kwake na Ubalozi huo.  Ubalozi huo pia umemkabidhi  Waziri mipira 300 kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu. Aidha, Ubalozi wa China umetoa  vifaa vya michezo ya  Kichina kwa Chama cha Wushu Tanzania. Vifaa hivyo vimetolewa leo katika Ubalozi wa China.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Emmanuel Nchimbi (Mb.) na Balozi wa China nchini, Bw. Liu Xinsheng, wakipeana hati za makabidhiano ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na Ubalozi wa China nchini leo katika Ubalozi huo. (Picha na Concilia Niyibitanga- Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tunafurahiii.......vimelipiwa hivyo jamani chonde chonde.

    ReplyDelete
  2. Unajua sio kwamba watu wanataka kuona meno ya mtu kila sekunde anapoonekana. Ndio maana kufunga mdomo nako ni tendo lililoumbwa na Mungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...