Wanafunzi wa shule ya msingi Kilimani Hewa iliyopo mkoani Mtwara wakisoma vitabu vya kiada walivyokabidhiwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) ili kukabiliana na upungufu wa vitabu shuleni hapo. Kuli ni Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe Gunz.
 Mkuu wa Wilaya ya Singida, Pascal Mabiti akipokea msaada wa vitabu vya kiada kutoka kwa Meneja wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia Lupembe kwa ajili ya shule ya msingi Ikungi. Kulia ni mwakilishi wa Tigo.
Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania  (TEA), Sylvia Lupembe akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Ikungi iliyopo mkoani Singida moja ya vitabu vilivyotolewa na TEA kwa ajili ya kukabiliana na upungufu wa vitabu shuleni hapo. Wa pili kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Singida, Pascal Mabiti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...