Daladala lifanyalo safari zake kati ya Mburahati - Kivukoni likijiachia kwa raha zake katikati ya barabara huku magari mengine yakiwa yamepanga foleni iliyokuwa imekomaa kwa muda katika barabara ya Sokoine Drive,jijini Dar mchana wa leo.Hali hii ipo kwa Madereva wengi wa usafiri wa namna hii kutopenda kukaa kwenye foleni kama yaonekanavyo magari mengine.
Home
Unlabelled
daladala za bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...