Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa Baraza na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi na washiriki wa mafunzo ya uchunguzi na upelelezi baada ya kuwa amefunga mafunzo hayo katika Chuo cha Polisi cha Kidatu, Mogororo, leo Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Joel N Bendera na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, Saidi Mwema. Wengine waliokaa ni Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji (mst) Salome Kaganda na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, Jaji (mst) Damin Lubuva.(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete afunga mafunzo ya uchunguzi na upelelezi kwa viongozi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi Kidatu Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...