Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Dioniz Malinzi (kulia), pamoja ma wajumbe wapya wa baraza hilo, Juma Pinto (kushoto) , na Alex Mgongolwa, baada ya kuzindua baraza hilo leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Waziri Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa BMTWajumbe wa BMT wakimsikiliza Waziri Nchimbi aliyekuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa uongozi mpya wa baraza hilo.       Dkt. Nchimbi akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mwenyekiti mpya wa BMT, Malinzi                                            Wajumbe wapya wa BMT wakiwa katia hafla hiyo
Picha na Kamanda Mwaikenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michezo wanacheza Vijana..
    Baraza limejaa Wazee watupu.
    Wapi na Wapi?

    ReplyDelete
  2. hata mpira wanacheza vijana lakini makocha ni wazee.

    ReplyDelete
  3. Baraza hili linaonekana kuwa na mkusanyiko wa watu wa kada mbalimbali na hivyo likishirikishwa vizuri na kufanya mambo kwa kuzingatia utaratibu na kufaidi utaalamu uliomo ndani ya baraza, basi linaweza kutoa dira yakinifu na mwongozo endelvu wa kulikwamua taifa katika hali ya sasa ya michezo ambayo kwa kzingatia hotuba ya waziri, hali ni mbaya sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...