Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohammed Shein,akizungumza na Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kuonana nae leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohammed Shein,akisalimiana na Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kuonana na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akifuatana na mgeni wake Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshuhulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungunzo yao.picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Abdalla,Ikulu Zanzibar.
MH,WAZIRI RAIS SHEIN UNAJITAHIDI KUTULETEA MAENDELEO HONGERA
ReplyDeleteHuyo waziri wa Finland ni waziri wa nini?mbona mnasema tu waziri wa Filand?
ReplyDelete