Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohammed  Shein,akizungumza na  Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kuonana nae leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohammed  Shein,akisalimiana na Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kuonana na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed  Shein,akifuatana na mgeni wake  Waziri wa Finland, Heidi Huatala, anayeshuhulikia Maendeleo ya Kimataifa,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungunzo yao.picha kwa hisani ya Ramadhan Othman Abdalla,Ikulu Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MH,WAZIRI RAIS SHEIN UNAJITAHIDI KUTULETEA MAENDELEO HONGERA

    ReplyDelete
  2. Huyo waziri wa Finland ni waziri wa nini?mbona mnasema tu waziri wa Filand?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...