Salam,
Dr Julie Makani kutoka Tanzania amepokea Tuzo jumanne tarehe 18 octoba 2011 ya Royal Society Pfizer nchini Uingereza. 

Dr Makani amepokea tuzo hii ya utafiti alioufanya katika gonjwa hatari la Sickle Cell (SCD) ambaye makazi yake ya kazi ni kwenye Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi cha Muhimbili katika idara ya Haematology. 

Kutokana na utafiti wake kumeonekana ushahidi kuwa, chanzo kukuu cha magonjwa na vifo vitokanavyo na sickle Cell nchini Tanzania husababishwa na Anaeimia (upungufu wa damu)

Dr Makani pia amefanya mchakato wa matibabu katika majaribio ya Hydroxyure chemotherapy agent inayo gusa Bone marrow katika matibabu ya Anaemia kwenye ugonjwa Sickle Cell

Ni matumaini yake kuwa utafiti huu utapelekea kuboresha uchunguzi na matibabu ya ugonjwa huu ili kuweza kuimarisha afya za watu, mfumo mzima wa afya na jamii kwa ujumla.

Kwa niaba ya Watanzania wote Urban Pulse 
tunapenda kumpongeza DR Makani kwa mafanikio hayo.

Asanteni
Urban Pulse Creative
Dk. Julie Makani Akipokea Tuzo yake
Dk. Julie Makani akiwa na wadau waliofika kumpongeza
Dk Julie Makani akiwa na wazazi wake Mzee Bob Makani  na Mama Vicky Makani
Dk. Julie Makani akiwa na familia yake
Wageni waalikwa kwenye Royal Society Pfizer Awards London
Kutoka Kulia Balozi wetu Uingereza Mh Peter Kallaghe, Mama Makani, Dk. Makani, MP O'Brien, Naibu Balozi Chabaka Kilumanga na Bw.  Simba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. wow well done Dr. Makani...I am so proud of you..

    thanks

    from..one of your patients.. JM

    ReplyDelete
  2. Good job, keep it up!

    also from parent of a sickler child who normally attended your clinic. TZ

    ReplyDelete
  3. kazi nzuri dokta julie bob makani,bila shaka huu ni udokta uliotukuta,sio kama doktas waliojaa,kwenye siasa kwenda kuiba.

    ReplyDelete
  4. Well done Dr Makani, we are so proud of you.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Daktari. Inadhihirisha kwamba YES WE CAN.

    Keep it up Doc we are really proud of you hata kama nilikuwa sikufahamu hapo kabla.

    ReplyDelete
  6. Well done, the tanzanians who think
    you can not do great things in your country think again, total respect and suport for the great DR

    ReplyDelete
  7. Great job Dr. Julie so proud of you my daughter...auntie Bite

    ReplyDelete
  8. Julie,

    Pongezi tele, Dakrari! At long last your great work has been acknowledged, by the Royal Society...way to go! More ahead...no doubt. Congrats. So, happy for you!

    Chris Olola

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...