Mama Faiza Choka akimpongeza bintiye  Hawa Choka  baada ya kula nondozzz ya kuhitimu  kidato cha 4 siku ya Jumamosi katika  Shule ya Sekondari ya Sayansi Wasichana ya Kandoto, Same.
Picha ya pamoja Bamdogo Maez, Mama Mzazi Faiza Choka na bintiye  Hawa Choka baada ya kula Nondozz Kidato cha 4 Kandotio Girls.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera sana HAWA,na jitahidi zaidi mungu atakusaidia unatutia moyo sana kukuona imekuwa mkubwa kiumbo na ELIMU, i wish ningekuwa hapo nikakupa zawadi yako ila nakuwekea

    picha yako na wazee wako mmependeza sana mwenyezi mungu akufungulie kila lenye kheri na wewe mtoto amin

    ni mas

    ReplyDelete
  2. Hivi ile issue ya Wizara ya elimu kupiga marufuku uvaaji wa majoho kwa chekechea eti unapunguza heshima ya digirii iliishia wapi?

    Hongera Hawa!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Hawa, mwenyezi Mungu akujaalie kila la kheri na akuongoze katika mafanikio yako kielimu na Kimaisha.

    Kakiyo!

    ReplyDelete
  4. BRAVO BABY GAL, CONGRATULATIONS TO YOU AND YOUR FAMILY! OUR DEAR FATHER LATE MZEE CHOKA MUST BE SMILING AT YOU RIGHT NOW!! YOU STILL HAVE LONG WAY TO GO. KEEP IT UP.
    HALIMA SATO
    BLOCK 41

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...