Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana LADISLAUS J. MWAMANGA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF).
Kabla ya hapo Bwana Mwamanga alikuwa
Meneja wa Mifumo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF.
Uteuzi huu unaanzia tarehe 1 Novemba, 2011.
Peter A. Ilomo
Kny: KATIBU MKUU, IKULU


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...