Rais Jakaya Kikwete (kulia), akilishwa keki na mkewe Mama Salma Kikwete katika hafla ya kifamilia ya kuadhimisha miaka 61 ya kuzaliwa kwake, katika makazi yake Ikulu, Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Rais wetu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, tunakutakia happy birthday na kila la heri kwako na kwa familia yako. Kalinga family, Iringa.

    ReplyDelete
  2. Siku njema ya kuzaliwa Rais JK. Tunakupenda na tunamuomba Muumba akulinde daima. Amen. Morani7.

    ReplyDelete
  3. happy birthday president mungu akujalie maisha bora uendeleze maisha bora kwa kila mtanzania eh ehe hata ukimaliza mda wako kama mzee Mkapa na Mwinyi

    ReplyDelete
  4. KWAKWELI RAIS WETU UNAMWILI MZURI, YAANI UNAMIAKA 61 UNAONEKANA KAMA UNAMIAKA 45, HONGERA SANA,I WISH I COULD BE LIKE YOU.

    ReplyDelete
  5. mwenyezi Mungu akulinde akupe afya njema na akunusuru na mabaya kama vile kukatiwa naumeme. asante.

    ReplyDelete
  6. Hivi ndio Marais wa nchi maskini wanatakiwa kusheherekea siku zao za kuzaliwa, unsheherekea na familia yako na watu wako wa karibu. Inatosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...