KAMANDA wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik Choughule, akimzawadia Mbunge mteule wa Igunga, Dk. Peter Kafumu (CCM) wakati wa mkutano wa kusherehekea ushindi wake , uliofanyika juzi, Viwanja vya Bakhresa, Manzese Dar es Salaam, juzi. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CCM, Matson Chizi na wa pili ni Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Temeke, Ayoub Chamshana.
 Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM)  akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake, Maria Magdalena na kulia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HUYU NDIYE WAZIRI MPYA WA NISHATI NA MADINI ANAEKUJA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...