Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akizungumza na Rais wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita nchini Rwanda (ICTR), Mhe Jaji Khalida Rachid Khan pindi alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Picha na mdau Mary Gwera wa  Mahakama ya Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndio interview hiyo baba... inshallah hope you get the post...

    ReplyDelete
  2. JAJI MKUU NI SIMBA??????

    ReplyDelete
  3. Kiswahili cha pindi ndio nini hapa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...