Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Kidatu,mkoani Morogoro jana .Kushoto ni meneja wa TANESCO wa mkoa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hivi alikuwa anakagua au anatembelea?

    ReplyDelete
  2. anon wa hapo juu umeuliza swali zuri. Sitaki niseme mengi make nina hasira sana.

    Kwangu umeme hakuna, maji hakuna, na siku hizi naamka saa tisa ili kuwahi foleni. Mungu ibariki tu Tanzania

    ReplyDelete
  3. Kissa AnyigulileOctober 06, 2011

    Huyo meneja mbona hujataja jina lake?. Tunaomba tumfahamu.

    ReplyDelete
  4. HABARI YA UMEME INAWAVUTA WATU WENGI ILA HAIKUKAMILIKA TULITEGEMEA
    KUELEWA KWA SASA MAJI YAPO KIASI GANI,INAZALISHA MEGAWATT NGAPI KWA SASA?NA NI MIKAKATI GANI WALIONAYO KWA SASA TOKA KWA HUYO MENEJA ASIYE NA JINA?

    ReplyDelete
  5. Kaw ras kukagua pekee hakutoshi kwani kuna sir ambayo hawa viongozi hutumia sababu ziara ya rais huwa imeplaniwa so kabla rais hajafika viongozi huwajibika sana kwakuweka kila kitu sawa ili atakapokuja rais aone mambo yanakwenda vizur lakini kama rais angetembelea shirika lolote bila taarifa ndio angejua kazi inayokwenda, kama alivyofanya cku chache zilopita waziri wa afya bila kujitambulisha akaona jinsi daktri anavyoboronga so wako wengi aina hiyo. Cku nyigine MR. President fanya suprise uone mambo ya wtumishi wako uma wanavyo kulet down

    ReplyDelete
  6. ni kweli Soup wengine umewataja kama Joel Bendera nk, lakini mwenyeji mkuu Meneja Tanesco umembania kulikoni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...