WAZEE WA KAZI NA MHESHIMIWA NEEMA MGAYA MBUNGE WA VIJANA KUPITIA CCM ALIPOWATEMBELEA KATIKA OFISI ZAO LEO JIJINI LONDON ANBAKO BAADA YA KUJIONEA KAZI INAVYOPIGWA ALIIMWAGIA SIFA SERENGETI FREIGHT FORWARDERS NA KUIITA MKOMBOZI WA WATANZANIA WANAOTAKA KUPELEKA VITU NYUMBANI TOKA UINGEREZA
WAZEE WA KAZI WAKIMKARIBISHA MHESHIMIWA NEEMA MGAYA OFISI KUU YA SERENGETI LONDON 
WAZEE WAKAZI SIOMON LOUIS (MOHSIN) NA CHRI LUKOSI WAKIWA NA MHESHIMIWA NEEMA MGAYA MBUNGE WA VIJANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wazee wa Kazi nimesikia mnavyo chapa kazi kuwasaidia Watu hasa watanzania kuwapelekea mizigo yao nyumbani, sasa njoeni basi na huku Marekani mtusaidie maana tunawatamani na sisi pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...