Na Danford Mpumilwa
Kabinti kangu a.k.a. Investment, Leah Danford Mpumilwa hivi majuzi kali-graduate kutoka shule ya sekondari ya wanawake ya St Theresa of the Child Jesus, hapo Kisongo, Arusha. Na mimi kama dingi mhusika nilijitutumua na kikosi changu kwenda kukapa pongezi na kukakumbusha kuwa huo ni mwanzo tu wa safari ndefu ya kutafuta elimu ingawa yeye alijiona ameukata.
Na kaliponiomba kwamba sasa ni wakati mwafaka wa kumnunulia Lap Top nilikajibu kuwa kasubiri hadi katakapofaulu kuingia University. Ingawa jibu hilo lilitokana haswa na mambo mengine ukwasi chechefu nilionao. Lakini keki kaliipata haswa kama invyoonekana hapo chini;

Hapa ni mawaidha kwa kwenda mbele; kwamba akiingia chuo atalamba laptop....
Akiwa na dingi na wadogo zake Rhoda na Tuli
Siku ya furaha kwa Tuli na wote
Kikosi kamili kilikuwepo kutoa hamasa ya elimu
Keki ilikatwa na kuonjwa na kikosi chote

Safi sana !!!
ReplyDeleteKaka Mpumilwa kabinti ketu nakapa hongera sana, usisahau kukakumbusha ajiepushe na fedha za mafisadi watakaokuwa interested before hiyo university.
ReplyDeleteMassoud Abiola Jr.
hako ka-Tuli...duh! inabidi Mzee ufuge ka-mbwa mapemaaaaa....!!!
ReplyDelete