Kaimu katibu tawala mkoa wa Ruvuma,Dkt Anselem Tarimo,akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jana (hawapo pichani), juu ya kupanda kwa bei ya saluji ambapo mfuko mmoja uuzwa kati ya tshs 25,000 hadi 30,000,ambapo aliwaomba wafanyabiashara wa bidhaa hiyo kuacha tamaa na kuuza kwa bei halisi ya tshs 16,000 kwa mfuko
Katibu wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Joel Mbewa (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani),kuhusu ujanja wanaotumia wafanyabiashara wa saluji ambao wamepandisha bei ya bidhasa hiyo kutoka tshs 16000 kwa mfuko hadi tshs 30,000,kushoto ni mshauri wa habari kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa Bw Revocatus kassimba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nimegundua Michuzi wewe au anayekusaidia ku post ana tatizo la R na L.
    Saruji.

    ReplyDelete
  2. SALUJI!!!!!!!!!!! R?

    ReplyDelete
  3. watani wamechachamaa wameamua kujenga kwa kwenda juu (maghorofa) nini? mpaka saruji inapanda bei? zamani walikuwa wanajenga chini tu! Aaah..! wataniiii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...