Mwendesha pikipiki (maarufu bodaboda) ambaye hakufahamika jina lake akiwa kauchapa usingizi juu ya pikipiki yake kama alivyokutwa na mpiga picha wetu jirani na Bar ya Three Way mjini Songea jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mara ghafla, prakatatumba pwaa down, unacheza na ndoto nini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...